Je! kuchora tattoo ni dhambi?

JIBU: Biblia inasema katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28 “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”. Bwana alikataza watu kuchanjwa chale kwasababu chale zote zinahusiana na ibada za wafu, au ushirikina, Bwana hajawahi kuwaagiza wana wa Israeli wanapopatwa na … Continue reading Je! kuchora tattoo ni dhambi?