Je! mbinguni kuna malaika wa kike?. Na je! tukifika mbinguni tutafanana wote?

JIBU: Neno jinsia kwa mara ya kwanza limeonekana kwa wanadamu, Pale Mungu alipomtoa Hawa ubavuni mwa Adamu na kumwita jina lake mwanamke, hapo ndipo j