JE! Kaini alimpatia mke wake wapi?
SWALI: Kaini baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi, Naomba kufahamu Je! Huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto? (Mwanzo 4:16). JIBU: Ukisoma Mwanzo 5:1-5 utaona inasema…. “1Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; 2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki … Continue reading JE! Kaini alimpatia mke wake wapi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed