Kucheza karata ni sahihi kwa Mtu aliye MKRITO?

JIBU: Kwanza kabisa hebu tujifunze juu ya hili.. “Ni kwanini Shule nyingi za bweni karibia zote, zinakataza watoto kuwa na simu au kucheza karata au magemu au kuangalia movie?”..unafikiri ni kwanini?..Jibu ni rahisi ni kwasababu vitu hivyo vinapotumiwa na wanafunzi vinawasababishia kwa namna moja au nyingine kutokuwa na kiasi na matokeo yake inawapelekea kusahau kilichowapeleka shule … Continue reading Kucheza karata ni sahihi kwa Mtu aliye MKRITO?