Mbona Mungu anaruhusu watu wapate shida, ilhali ana uwezo wa kutuepusha?
JIBU: Kwanza tunapaswa kufahamu kuwa si mapenzi ya Mungu sisi tupitie shida yeyote ile.Lakini zipo shida na dhiki ambazo Mungu huwa anaziruhusu ziwapate wale wateule wake kwa kutimiza kusudi Fulani, aidha kwa kuwafundisha, au kwa kuonyesha utukufu wake, au kwa kuwaonya, lakini mwisho wa siku shida hizi huwa zinaishia na mwisho mwema, na ndio maana mtume … Continue reading Mbona Mungu anaruhusu watu wapate shida, ilhali ana uwezo wa kutuepusha?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed