Yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake.

SWALI: Mstari huu una maana gani? “yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.(Mhu 7:15)â€