Sanduku la Agano lilikuwa linawakilisha nini katika Agano jipya?
JIBU: Shalom!, Kwa hali ya kawaida tunafahamu sanduku kazi yake huwa ni kuhifadhi vitu Fulani, inaweza ikawa ni fedha,vito,nguo, hazina, miili n.k. na ndio maana tukirudi kwenye biblia tunaona biblia inataja masanduku ya aina mbali mbali, kwa mfano pale Yusufu alipokufa biblia inatuambia mwili wake waliuweka kwenye sanduku (Mwanzo 50:26), hivyo kuna masanduku ya miili. … Continue reading Sanduku la Agano lilikuwa linawakilisha nini katika Agano jipya?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed