Wapunga Pepo wanaozungumziwa kwenye biblia ni watu wa namna gani?
SWALI: Tukisoma Matendo 19:13 Inasema pale “Baadhi ya Wayahudi wenye kutanga-tanga, NAO NI WAPUNGA PEPO….” swali,Naomba kufahamu hawa Wapunga Pepo ni watu wa aina gani ndugu zangu? JIBU: Tafsiri ya Neno kupunga pepo ni “kufukuza pepo”…hiyo ni lugha iliyotumika katika tafsiri yetu ya Kiswahili inayosimama badala ya kufukuza pepo…Kwahiyo zamani na hata sasa zilikuwepo njia nyingi za kuondoa … Continue reading Wapunga Pepo wanaozungumziwa kwenye biblia ni watu wa namna gani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed