MADHARA YA DHAMBI YA UASHERATI.

Kufanya kitendo cha ndoa na mtu ambaye hamjaoana, ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu, kuwa na boyfriend au girlfriend na kujihusisha na vitendo vya kukutana kimwili kuna madhara makubwa sana kiroho.Dhara la kwanza: Wote mnakuwa mwili mmoja. Biblia inasema katika… 1 Wakorintho 6:16 “Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja … Continue reading MADHARA YA DHAMBI YA UASHERATI.