WALIO NA HEKIMA NDIO WATAKAOELEWA.
Danieli 12:8 “Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje? 9 Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho. 10 Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima … Continue reading WALIO NA HEKIMA NDIO WATAKAOELEWA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed