UPUMBAVU WA MUNGU.

1Wakorintho 1:25 “Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu’’.   Swali ni je! Mungu ni mpumbavu, au Mungu anao udhaifu?. Kwa mtu mwenye akili timamu akiangalia jinsi hii dunia ilivyoumbwa na sayari zake na nyota zake nyingi, akiangalia jinsi milima na mabonde na … Continue reading UPUMBAVU WA MUNGU.