UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUZAA MATUNDA.
Shalom mtu wa Mungu, karibu tutafakari maandiko pamoja. Biblia inasema katika Kitabu cha Yohana 15:16 kwamba “Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni” Tumepewa jukumu la kuzaa matunda, na matunda hayo … Continue reading UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUZAA MATUNDA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed