Je ni dhambi kuangalia movie?

Kama mkristo ili uweze kuenenda  kikamilifu katika safari yako ya wokovu hapa duniani bila dosari zozote zisizokuwa na sababu, ipo mistari miwili ya kuzingatia.. Wa kwanza ni huu: Wakolosai 3:17 “Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye”. Na wa pili ni huu … Continue reading Je ni dhambi kuangalia movie?