MBINGUNI NI WAPI?

Mbinguni ni mahali mbali sana na upeo wetu wa kufikiri, na umbali huo haupo katika mfumo wa kilometa, au maili hapana! bali kiufahamu…Katika miili hii ya damu na Nyama hatuwezi kufika mbinguni. Ni sawa uwaambie paka wote duniani au mbwa wote duniani, wajikusanye wafanye bidii wafike kwenye wafike kwenye kifaa kilichotengenezwa na wanadamu kinachoitwa satelite … Continue reading MBINGUNI NI WAPI?