Ili kuelewa Nini maana ya Ukristo, tutafakari kwanza maana ya Neno UTAIFA…Neno utaifa limetokana na Nomino Taifa…Kwahiyo kitendo chochote kinachofanyika kinachohusisha mapenzi na Taifa, kitendo hicho kinaitwa Utaifa.. Tukirudi katika UKristo, Neno Ukristo nalo pia limetokana na Nomino Kristo…Na maana ya Kristo ni “Mtiwa Mafuta” au “Masihi” na wala sio Yesu,…Mtu aliyetiwa Mafuta na Mungu … Continue reading UKristo Ni Nini?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed