JE BIKIRA MARIAMU ALIKUFA?

Hakuna mahali popote Biblia imerekodi kifo cha Mariamu, wala¬† hakuna¬† mahali popote Biblia imerekodi kifo cha Mtume Petro, wala Yusufu mume wake Mariamu, wala Mtume Paulo, wala Mtume Adrea wala Tomaso, Nathanieli, n.k…manabii wengi sana na mitume vifo vyao havijarekodiwa kwenye Biblia takatifu.. Na ni kwanini biblia havijarekodi vifo vya hawa watu, ni kwasababu sio … Continue reading JE BIKIRA MARIAMU ALIKUFA?