JE NI KWELI BWANA YESU SIKU YA KURUDI ATAFIKIA ISRAEL

Jambo moja linalowachanga watu wengi wa Mungu, ni kutokujua Ujio wa Yesu utakuwaje. Ujio wa Bwana Yesu umegawanyika katika sehemu kuu 3. nazo ni UJIO WA KWANZA, UJIO WA PILI na UJIO WA TATU. UJIO WA KWANZA: Ni wakati Bwana Yesu alipozaliwa na Bikira Mariamu, na kuifanya kazi yake kwa miaka mitatu na nusu, na … Continue reading JE NI KWELI BWANA YESU SIKU YA KURUDI ATAFIKIA ISRAEL