kanisa la kwanza duniani ni lipi?

Maana ya kanisa ni “walioitwa” kwahiyo watu walioitwa watoke sehemu fulani wanaitwa kanisa…..Hivyo tafsiri ya kanisa sio jengo kama inavyodhaniwa na wengi… Kwahiyo katika maandiko kanisa la kwanza lilianza siku ile ya PENTEKOSTE. Roho Mtakatifu aliposhuka juu ya watu! Soma Matendo Mlango wa pili yote. Wale waliomwamini Yesu, na kubatizwa walishukiwa na Roho Mtakatifu, na … Continue reading kanisa la kwanza duniani ni lipi?