KUOTA UNAPEWA PESA| MAANA NA TAFSIRI YA KIROHO
Awali ya yote ili upate ufasaha wa ndoto yako, na kuepuka kudanganywa na kila aina ya tafsiri mtu yeyote anayoweza kukuletea, awali ya yote unapaswa ufahamu ndoto yako inaangukia katika kundi lipi, Yapo makundi makuu matatu (3) ya ndoto: Kundi la kwanza: ni zile ndoto zinazotokana na Mungu, kundi la pili: ni zile zinazotokana na … Continue reading KUOTA UNAPEWA PESA| MAANA NA TAFSIRI YA KIROHO
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed