JIEPUSHE NA MANENO YA MANABII WA UONGO.

Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia.. Hatari kubwa iliyopo katika siku hizi za mwisho ni Kunyanyuka kwa jopo kubwa la Manabii wa Uongo…Sasa biblia inapotaja uwepo wa manabii wa uongo, haimaanishi tu manabii bali hata waalimu, wainjilisti, mitume, wachungaji, maaskofu, mashemasi(2Petro 2:1) n.k…Yaani kwa ufupi kila karama ina waongo wake…Sasa watumishi wote hao wa … Continue reading JIEPUSHE NA MANENO YA MANABII WA UONGO.