Adamu alikuwa na watoto wangapi?
Biblia inasema katika kitabu cha Mwanzo. Mwanzo 4:1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana. 2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi” Mtoto mwingine aliyezaliwa na Adamu na Hawa alikuwa ni Sethi. Mwanzo 5:1 “Hiki ndicho kitabu cha vizazi … Continue reading Adamu alikuwa na watoto wangapi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed