NUHU ALIJENGA SAFINA KWA MIAKA MINGAPI?

Biblia haijaweka bayana safina ilijengwa kwa muda gani, Wapo wanaosema ilijengwa kwa muda wa miaka 120 kufuatia mstari wa kitabu cha Mwanzo 6:3 ” Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.” Lakini bado hiyo haileti maana kamili..Lakini pia biblia inasema Nuhu … Continue reading NUHU ALIJENGA SAFINA KWA MIAKA MINGAPI?