JE UNATAMANI KUMJUA MUNGU, NA HUJUI PA KUANZIA?

Ukiwasimamisha watu wawili mbele yako, mmoja daktari na mwingine mtu wa kawaida ambaye hajasoma, halafu ukawaonyesha wote wawili ndege ya kivita inayopaa hewani, kisha ukawauliza swali moja jepesi “ Je! Ile mnayoiona juu ni kazi ya nani”….moja kwa moja Yule mtu ambaye hajasoma atakuambia bila shaka ile ni kazi ya mtu,.. lakini Yule daktari si … Continue reading JE UNATAMANI KUMJUA MUNGU, NA HUJUI PA KUANZIA?