UPENDO NI NINI NA JE! KUNA AINA NGAPI ZA UPENDO?

Upendo ni kitendo cha kuonyesha hisia za tofauti za ndani kwa mtu mwingine, Ni hisia zinazoonyesha pengine umeridhishwa na mtu huyo, au umemkubali, au umemuhurumia, au unataka kumkaribia uwe karibu naye n.k. Kibiblia kuna upendo wa aina tatu: UPENDO WA KWANZA NI UPENDO UNAOTOKANA NA HISIA: Upendo huu unajulikana kama “EROS” Ni upendo unaozaliwa na … Continue reading UPENDO NI NINI NA JE! KUNA AINA NGAPI ZA UPENDO?