NG’OMBE MWEKUNDU ALIYEZALIWA ISRAELI, ANAFUNUA NINI?
Utakumbuka tarehe 28/8/2018 kulitokea tukio la kihistoria Israeli la kuzaliwa kwa ng’ombe mke mwekundu. Kulingana na chuo cha kidini kijihusishacho na mambo ya Hekalu kinasema jambo hilo halikuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka 2000, tangu kuharibiwa kwa hekalu la pili pale Yerusalemu. Wanaamini tangu wakati wa Musa hadi kuharibiwa kwa hekalu la pili jumla ya … Continue reading NG’OMBE MWEKUNDU ALIYEZALIWA ISRAELI, ANAFUNUA NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed