JISHUSHE ILI MUNGU AKUHUDUMIE.
Jinsi Mungu anavyotuhudumia sisi ni tofauti na sisi tunavyoweza kufikiri, Sisi tunatazamia Mungu atatuhudumia kutoka mbinguni, lakini yeye yupo tofauti, msaada wake ameuweka sehemu ya chini sana, ambayo imedharauliwa na wengi, Leo hii ukimwomba Mungu jambo basi toa yale mawazo kwamba atakupa majibu kutoka katika mambo makubwa….Ni kweli matokeo ya majibu yatakuwa makubwa, lakini chanzo … Continue reading JISHUSHE ILI MUNGU AKUHUDUMIE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed