HATARI YA KUHUBIRI INJILI TOFAUTI NA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA.
Shalom! Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima! Karibu tujifunze Biblia, kwa Neema Bwana aliyotupa. Biblia inasema katika Wagalatia 1:7b “…. lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo. 8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. 9 Kama tulivyotangulia kusema, na … Continue reading HATARI YA KUHUBIRI INJILI TOFAUTI NA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed