Baragumu ni nini/ Nini maana ya Baragumu. Baragumu kwa lugha rahisi tunaweza kusema ni “Tarumbeta” au “Parapanda” au Mbiu!..Matarumbeta au Mabaragumu yalikuwepo ya aina nyingi kulingana na Nyakati. Nyakati za zamani mabaragumu yalikuwa yanatengenezwa kwa pembe za wanyama, Tofauti na nyakati zetu hizi Mabaragumu yanatengenezwa kwa shaba na wakati mwingine chuma. Katika nyakati za zamani … Continue reading BARAGUMU NI NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed