UMEPATANISHWA NA MAADUI ZAKO?

Je unawajua Wasamaria walikuwa ni watu gani?…Wasamari ni watu wanaotokea mahali panapoitwa SAMARIA, ulikuwa ni mji uliokuwepo katikati ya Taifa la Israeli. Zamani za wafalme Israeli ilipogawanyika sehemu mbili, yaani kaskazini na kusini, Eneo la Samaria lilibaki sehemu ya Kaskazini mwa Israeli na Yerusalemu ilibaki sehemu ya Kusiniā€¦ kukawa na mataifa mawili ndani ya Taifa … Continue reading UMEPATANISHWA NA MAADUI ZAKO?