KUVUNJA MAAGANO YA UKOO.

Unatafuta kujua namna ya kuvunja maagano ya ukoo?. Upo sehemu sahihi fuatilia somo hili hadi mwisho kabisa utafahamu njia rahisi ya kuondokana na hizo laana milele zisikurudie tena. Biblia inasema: Yohana 8:36  “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli” Unaweza ukajiuliza ni kwanini pale msalabani Bwana Yesu alisema neno moja tu IMEKWISHA!!(Yohana 19:30), Na … Continue reading KUVUNJA MAAGANO YA UKOO.