KUOTA UMECHELEWA MAHALI FULANI.

Ndoto kama hizi ambazo unajiona umechelewa mahali fulani, aidha  kuota umechelewa kufanya mtihani, au kuota umechelewa kusafiri, au kuota umechelewa kwenda kazini, au kuota umechelewa kwenye appointment fulani, au kuota umechelewa airport au kuota umechelewa interview, au umechelewa mahakamani n.k. huwa zinatoka kwa Mungu na Na kama zinajirudia mara kwa mara basi zidi kuzitilia maanani … Continue reading KUOTA UMECHELEWA MAHALI FULANI.