YUDA ISKARIOTE! MTUME ALIYECHAGULIWA NA BWANA YESU.

Bwana Yesu alikuwa na wanafunzi wengi, lakini alikuwa na Mitume 12 tu! Matume hawa 12 wote walichaguliwa kwa ufunuo wa Roho, kwani tunasoma kwamba Bwana kabla ya kuwachagua mitume hao alikwenda kuomba kwanza, ndipo akafunuliwa majina ya mitume hao. Lakini jambo la kushangaza kidogo ni kwamba miongoni mwa hao mitume 12, alikuwemo mtume mmoja wa … Continue reading YUDA ISKARIOTE! MTUME ALIYECHAGULIWA NA BWANA YESU.