KIWANGO CHA TATU CHA IMANI.

Kuna aina tatu za Imani zilizoonekana katikati ya kundi lililokuwa likumfuata Yesu waponywe. Kundi la Kwanza: Ni lile lililohakikisha kuwa linamwona Yesu uso kwa uso, na kuzungumza naye, na kumwomba Bwana Yesu awaponye au kama mgonjwa wao hayupo hapo basi litahakikisha Bwana Yesu anaambata nao hadi makwao ili waombewe, Kundi hili linatabia ya kumwachia Yesu … Continue reading KIWANGO CHA TATU CHA IMANI.