Ni muhimu kujifunza nini maana ya kukua kiroho,Namna ya kukua kiroho, faida za kukua kiroho. Na pia ni vizuri kujifunza mbinu za kukua kiroho. Nini maana ya kukua kiroho Roho ni Utu wa Ndani wa Mtu ule unaozungumziwa katika kitabu cha Waefeso 3:16. Na utu huu wa ndani unakuwa si kwa kimo, bali kwa MAARIFA. … Continue reading NINI MAANA YA KUKUA KIROHO
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed