Yeshuruni ni nani katika biblia?

SWALI: Huyu Yeshuruni¬† ni nani kwenye biblia?. Na kwanini alinenepa na kumdharau mwamba wa wokovu wake (Kumb.32:15)?. JIBU: Yeshuruni ni jina lingine la Taifa la Israeli lililotumika katika biblia ya kiyahudi hususani katika mashahiri,..Neno hili linaonekana mara 4 katika biblia soma (Kumbukumbu 32:15, 33:26, 33:5 na Isaya 44:2). Hivyo tukirudi pale kwenye Kumbukumbu 32:15 Inasema.. … Continue reading Yeshuruni ni nani katika biblia?