KUTAHIRIWA KIBIBLIA

Kutahiriwa Ni nini? Kutahiriwa kibiblia ni kitendo cha Sehemu ya nyama ya mbele ya uume wa mwanamume kukatwa. Mtoto yeyote wa kiume anapozaliwa anakuwa na sehemu ya nyama iliyozidi katika uume wake. Sehemu hiyo ya nyama ndiyo inayoitwa GOVI na ndiyo iliyokuwa inakatwa. Katika Biblia Mungu alimpa Ibrahimu maagizo ya kufanya Tohara yake (Yaani kuiondoa … Continue reading KUTAHIRIWA KIBIBLIA