HATUTAACHA KUJIFUNZA NENO KILA INAPOITWA LEO.

Je! Kuna umuhimu wowote wa kujifunza Neno kila siku? Unajua ni kwasababu gani leo hii tunamwona Mtume Paulo ni mtu aliyekuwa amejaa mafunuo ya ndani kabisa yamuhusuyo Mungu na YESU KRISTO kiasi cha Mungu kufikia hatua ya kuyafanya mafundisho yake kuwa muhamala mkuu wa kanisa hadi sasa, ni kwasababu mtume Paulo hakuwa mtu wa kuchoka … Continue reading HATUTAACHA KUJIFUNZA NENO KILA INAPOITWA LEO.