NINI MAANA YA KUSAGA MENO?

NINI MAANA YA KUSAGA MENO? Kusaga meno ni kitendo cha kung’ata meno kwa nguvu kutokana na maumivu fulani au uchungu fulani. Kwamfano mtu aliyejikata na kisu au kujikwaa kwenye kidole utaona atang’ata meno kwa nguvu kutokana na maumuvi anayoyasikia au uchungu au hasira fulani (Soma Matendo 7:54). Na hata wakati mwingine mpaka kung’ata huku yanasuguana. … Continue reading NINI MAANA YA KUSAGA MENO?