Watu wengi wanajiuliza Roho Mtakatifu ni nani? JibuĀ rahisi ni kuwa Roho Mtakatifu ni Roho ya Mungu, Mungu anayo Roho kama vile mwanadamu alivyo na roho, hakuna mwanadamu yeyote asiye na roho. Na Biblia inasema katika Mwanzo 1:26 kwamba Mwanadamu aliumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Ikiwa na maana kuwa kama mwanadamu ana nafsi … Continue reading Roho Mtakatifu ni nani?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed