BUSTANI YA NEEMA.

Jina la Bwana Yesu litukuzwe. Karibu tujifunze Biblia tena. Tunasoma katika kitabu cha Mwanzo. Baada ya Adamu na Hawa kula matunda ya mti wa ujuzi wa Mema na Mabaya ambayo waliagizwa wasiyale. Macho yao wote wawili yalifumbuliwa na kujijua kuwa wapo uchi. Mwanzo 3:6 “Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, … Continue reading BUSTANI YA NEEMA.