INJILI YA KRISTO HAITANGAZWI KWA HATI MILIKI.

Ni kitu cha kushangaza jinsi injili ya Kristo, Bwana wetu  inavyogeuzwa leo hii kutoka katika kitu cha kutolewa bure hadi kuwa kitu cha kutolewa kwa masharti,.Tunaweza tukadhania ni ustaarabu mzuri kufanya hivyo lakini kibiblia huo haukuwa mpango wa Kristo tangu zamani alipowaita mitume wake..kwasababu ni jambo linalozuia injili ya Kristo kusonga mbele. Na leo tutaona … Continue reading INJILI YA KRISTO HAITANGAZWI KWA HATI MILIKI.