NAMNA YA KUMTAMBUA BIBI ARUSI WA KWELI WA KRISTO.

Nitamtambuaje bibi arusi wa kweli? Shalom. Ni vizuri tukafahamu kuwa katika ukristo yapo makundi matatu ya waaminio. Tukilielewa hilo itatusaidia sisi kujipima tupo katika kundi lipi. Na hatua zipi tuchukue ili tusimame katika upande salama. kundi la kwanza: Ni kundi la watu wanaojiita wakristo, hawa wanaweza wakawa wamezaliwa katika familia za kikristo au walioupokea ukristo … Continue reading NAMNA YA KUMTAMBUA BIBI ARUSI WA KWELI WA KRISTO.