NITAFUNGUAJE MILANGO ILIYOFUNGWA MBELE YANGU?

Nifanye nini ili niifungue milango iliyofungwa mbele yangu? Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Moja ya mada inayozungumzwa na wakristo wengi hususani wa kanisa hili la Mwisho ni juu ya namna ya kufungua milango iliyofungwa mbele yetu. Na kwa haraka haraka wengi wetu tunatafuta njia za haraka haraka ilimradi tu, Milango iliyopo mbele yetu ifunguke. … Continue reading NITAFUNGUAJE MILANGO ILIYOFUNGWA MBELE YANGU?