KARAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE.

 Kwanini karama ya Mungu ni uzima wa milele? Ukikaa chini ukajaribu kutafakari kwa umakini hili Neno UZIMA WA MILELE, utashangaa sana, wakati mwingine utajiuliza hili jambo linawezekanaje kanaje, na ukilitafari sana utaona kama akili yako inafika sehemu inagota. Eti unaishi tu siku zote bila kuwa na kikomo, unaishi leo, miaka mia inapita bado unaendelea tu … Continue reading KARAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE.