JE! MTUMISHI KUTOKUWA NA FEDHA NI ISHARA KUWA KUNA TATIZO KATIKA IMANI YAKE?

Jina kuu la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema ya kuiona, Hivyo ninakukaribisha tujifunze tena maneno ya uzima maadamu siku ile inakaribia. Watumishi wengi wa Mungu wameshakutana na changamoto kama hii ya watu kuwauliza mbona huyo Mungu wenu mnayemtumikia hawafanyi kuwa matajiri ikiwa yeye ni Tajiriā€¦ Lakini mtu huyu … Continue reading JE! MTUMISHI KUTOKUWA NA FEDHA NI ISHARA KUWA KUNA TATIZO KATIKA IMANI YAKE?