NI KIPI MUNGU ANACHOKITAZAMA ZAIDI, MOYO AU MWILI?
Je! ni kipi Mungu anachokitazama zaidi, moyo au mwili? Shalom. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia. Neno la Mungu linasema katika..Waefeso 5:9-10 “kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli; mkihakiki ni nini impendezayo Bwana”. Hivyo kila siku ni wajibu wetu kuhakiki ni nini impendezayo Bwana. Kila tunachokifanya, … Continue reading NI KIPI MUNGU ANACHOKITAZAMA ZAIDI, MOYO AU MWILI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed