KISIMA CHA MAJI YA UZIMA NI KILE KILE CHA ZAMANI.

┬ákisima cha maji ya uzima ni kile kile cha zamani. Hakitachimbwa kingine. Shalom, Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Leo tutajifunza tena habari ya Isaka,.. kisha tuone ni nini Bwana anataka tujifunze kwa Mababa zetu hawa wa Imani,.. Mungu kujiita, yeye ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, halafu akagotea hapo hakuendelea mbele, … Continue reading KISIMA CHA MAJI YA UZIMA NI KILE KILE CHA ZAMANI.