TUNA WAJIBU WA KUOMBEA MAHALI TULIPO.
Tuna wajibu wa kuombea mahali tulipo. hata kama ni pabaya kiasi gani. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia, leo tutajifunza kwa ufupi umuhimu wa kuombea nchi tuliyopo, sehemu za kazi tulizopo, nyumba tunazoishi, mitaa tunayoishi hata kama ndani yake inatupa shida na mateso kiasi gani. Maadamu tunaishi ndani yake hatuna budi … Continue reading TUNA WAJIBU WA KUOMBEA MAHALI TULIPO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed