USITUMAINISHWE NA MANENO YA UONGO.

Kwanini usitumainishwe na maneno ya uongo? Kipindi kifupi sana kabla ya Hukumu ya Mungu kuja juu ya mtu, au juu ya nchi , au juu ya ulimwengu. Shetani huwa ananyanyua wimbi kubwa la manabii wa uongo, ambao kazi yao inakuwa ni kupunguza makali ya hukumu inayokuja. Shetani anajua kabisa watu wakiitafakari sana hukumu ijayo watatubu … Continue reading USITUMAINISHWE NA MANENO YA UONGO.