ALIKUWAKO NAYE HAYUKO, NAYE YU TAYARI KUPANDA KUTOKA KUZIMU.

Ni nani huyo “alikuwako naye hayuko, naye yu tayari kupanda kutoka kuzimu.?” Shalom, Jina la Yesu Kristo Bwana wetu lizidi kubarikiwa daima Tunapaswa tukumbuke kuwa Kila tunapoiona siku mpya, basi ndivyo tunavyopiga hatua nyingine kuufikia ule mwisho..Zile dalili kuu za mwisho wa dunia zimeshatimia, hivyo wakati wowote tunaweza kulishuhudia tukio la unyakuo wa kanisa..Na kwa … Continue reading ALIKUWAKO NAYE HAYUKO, NAYE YU TAYARI KUPANDA KUTOKA KUZIMU.